Watu washiriki shughuli mbalimbali za kutoa heshima kwa mashujaa wahanga kabla ya Siku ya Qingming ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2026
Watu washiriki shughuli mbalimbali za kutoa heshima kwa mashujaa wahanga kabla ya Siku ya Qingming ya China
Watu wakiweka maua kwa mashujaa wahanga wa Jeshi Jekundu kwenye bustani ya ukumbusho katika Wilaya ya Quanzhou, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Aprili 2, 2026. (Xinhua/Lu Boan)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wameshiriki kwenye shughuli mbalimbali kabla ya Siku ya Qingming, au Siku ya Kufagia Makaburi, ambayo itaadhimishwa Aprili 5 mwaka huu, wakitoa heshima kwa mashujaa waliojitolea mihanga. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha