Watu washiriki shughuli mbalimbali za kutoa heshima kwa mashujaa wahanga kabla ya Siku ya Qingming ya China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 03, 2026
Watu washiriki shughuli mbalimbali za kutoa heshima kwa mashujaa wahanga kabla ya Siku ya Qingming ya China
Wanafunzi wakitoa heshima kwa mashujaa wahanga kwenye makaburi ya mashujaa wahanga katika Wilaya Inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Tongdao ya Mji wa Huaihua, Mkoa wa Hunan, katikati mwa China, Aprili 1, 2026. (Picha na Su Yongzhu/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wameshiriki kwenye shughuli mbalimbali kabla ya Siku ya Qingming, au Siku ya Kufagia Makaburi, ambayo itaadhimishwa Aprili 5 mwaka huu, wakitoa heshima kwa mashujaa waliojitolea mihanga. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha