Lugha Nyingine
Siku ya Mashua ya Qintong yaadhimishwa katika Mji wa Taizhou, Mkoa wa Jiangsu, China (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 07, 2026
Siku hiyo ya Mashua iliwekwa katika Enzi ya Song ya Kusini ya China ya zama za kale (1127-1279), inasemekana kuwa siku hiyo iliwekwa kwa kukumbuka mababu na mashujaa wa zama za kale.
Shughuli ya kuadhimisha siku hiyo imefanyika jana Jumatatu, ambapo mamia ya mashua zenye wapigao kasia kwa mwanzi zaidi ya 10,000 zilikusanyika katika eneo hilo na kushiriki kwenye mashindano ya mwendo kasi. Siku hiyo ya Mashua iliyoendelea kuadhimishwa kwa mamia ya miaka imeorodheshwa kuwa moja ya urithi wa kitaifa wa utamaduni usioshikika wa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




