Lugha Nyingine
China yarekodi safari milioni 135 za kufanya utalii wa ndani wakati wa mapumziko ya Siku ya Qingming (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 08, 2026
![]() |
| Watalii wakijipiga picha ya selfie wakati wakitembelea Eneo la Utalii wa Kitamaduni la Nanshan katika Mji wa Sanya, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Aprili 6, 2026. (Picha na Chen Wenwu/Xinhua) |
Takwimu zilizotolewa jana Jumanne na wizara ya utamaduni na utalii ya China zimeonesha kuwa, safari za watu kwenda kufanya utalii katika sehemu mbalimbali nchini zilifikia milioni 135 katika siku tatu za mapumziko ya Siku ya Qingming, ambayo ni ongezeko la asilimia 6.8 kuliko mwaka uliopita, wakati huohuo matumizi ya utalii yameongezeka kwa asilimia 6.6 hadi kufikia yuan karibu bilioni 61.37 (dola za Marekani bilioni 8.9).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
