Mkoa wa Guangdong, Chian wapata mafanikio ya kiteknolojia na kufikia matumizi yake katika sekta ya usafiri wa siku za baadaye (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 20, 2026
Mkoa wa Guangdong, Chian wapata mafanikio ya kiteknolojia na kufikia matumizi yake katika sekta ya usafiri wa siku za baadaye
Mtembeleaji akipiga picha za chasisi ya gari linalotumia nishati mpya inayoonyeshwa kwenye Eneo Maalum la Teknolojia la Xpeng katika Eneo la Tianhe la Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, Machi 24, 2026. (Xinhua/Deng Hua)

Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China umekuwa kituo kinachoongoza mambo ya roboti na AI nchini China, na umekuwa na mfumo ikolojia wa viwanda unaojiendesha wenyewe kwenye kiwango cha juu, uwezo mkubwa wa utengenezaji bidhaa nyingi, na kufikia njia na malengo mbalimbali ya matumizi ya bidhaa hizo katika mazingira na hali maalumu kutokana na mahitaji.

Katika miaka ya hivi karibuni, mkoa huo umeharakisha kupata mafanikio ya kiteknolojia na kufikia njia na malengo mbalimbali ya matumizi ya bidhaa katika mazingira na hali maalumu ya usafiri wa siku za baadaye, kama vile usafiri wa magari yanayotumia umeme yenye mifumo ya AI, usafiri wa magari ya kujiendesha pamoja na uchumi wa anga ya chini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha