Lugha Nyingine
Mkoa wa Guangdong, Chian wapata mafanikio ya kiteknolojia na kufikia matumizi yake katika sekta ya usafiri wa siku za baadaye (6)
Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China umekuwa kituo kinachoongoza mambo ya roboti na AI nchini China, na umekuwa na mfumo ikolojia wa viwanda unaojiendesha wenyewe kwenye kiwango cha juu, uwezo mkubwa wa utengenezaji bidhaa nyingi, na kufikia njia na malengo mbalimbali ya matumizi ya bidhaa hizo katika mazingira na hali maalumu kutokana na mahitaji.
Katika miaka ya hivi karibuni, mkoa huo umeharakisha kupata mafanikio ya kiteknolojia na kufikia njia na malengo mbalimbali ya matumizi ya bidhaa katika mazingira na hali maalumu ya usafiri wa siku za baadaye, kama vile usafiri wa magari yanayotumia umeme yenye mifumo ya AI, usafiri wa magari ya kujiendesha pamoja na uchumi wa anga ya chini.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
