Kitengo cha kwanza cha nyuklia cha Hualong One cha eneo kubwa la ghuba la Guangdong-Hong Kong-Macao chaanza kuzalisha umeme (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 21, 2026
Kitengo cha kwanza cha nyuklia cha Hualong One cha eneo kubwa la ghuba la Guangdong-Hong Kong-Macao chaanza kuzalisha umeme
Picha hii iliyopigwa Aprili 20, 2026 ikionyesha jenereta ya turbine ya mvuke ya mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia wa Taipingling wa Kundi Kuu la Nishati ya Nyuklia la China (CGN) katika Wilaya ya Huidong, Huizhou, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Deng Hua)

Kitengo cha kwanza cha nishati ya nyuklia cha Hualong One katika Eneo Kuu la Ghuba ya Guangdong-Hong Kong-Macao, Kusini mwa China, ambacho ni kitengo cha mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia wa Taipingling wa Kundi Kuu la Nishati ya Nyuklia la China (CGN), kimeanza rasmi kuzalisha umeme jana Jumatatu na kuingia rasmi katika uendeshaji wa kibiashara.

Mradi huo unapangwa kujenga vitengo sita vya kuzaisha umeme kwa nishati ya nyuklia vya Hualong One katika vipindi vitatu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha