Lugha Nyingine
Kitengo cha kwanza cha nyuklia cha Hualong One cha eneo kubwa la ghuba la Guangdong-Hong Kong-Macao chaanza kuzalisha umeme (6)
Kitengo cha kwanza cha nishati ya nyuklia cha Hualong One katika Eneo Kuu la Ghuba ya Guangdong-Hong Kong-Macao, Kusini mwa China, ambacho ni kitengo cha mradi wa kuzalisha umeme kwa nishati ya nyuklia wa Taipingling wa Kundi Kuu la Nishati ya Nyuklia la China (CGN), kimeanza rasmi kuzalisha umeme jana Jumatatu na kuingia rasmi katika uendeshaji wa kibiashara.
Mradi huo unapangwa kujenga vitengo sita vya kuzaisha umeme kwa nishati ya nyuklia vya Hualong One katika vipindi vitatu.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
