Lugha Nyingine
Hospitali ya Mji wa Tianjin, China yatumia roboti kwenye upasuaji wenye maumivu kidogo sana (5)
![]() |
| Madaktari wakimfanyia upasuaji mgonjwa katika Taasisi ya Saratani na Hospitali ya Chuo Kikuu cha Tiba cha Tianjin mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Aprili 19, 2026. (Xinhua/Li Ran) |
Katika miaka ya hivi karibuni, Taasisi ya Saratani na Hospitali ya Chuo Kikuu cha Tiba cha Tianjin katika Mji wa Tianjin, kaskazini mwa China imeendelea kusukuma mbele maendeleo katika upasuaji wenye maumivu kidogo sana. Hospitali hiyo kwa sasa ina roboti tatu za upasuaji za da Vinci na imeshafanya upasuaji zaidi ya mara 10,000 kwa kutumia mfumo huo, na kuanzisha mfumo wa taaluma mbalimbali za matibabu yenye maumivu kidogo sana.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
