Mji wa Shenzhen, China wafuatilia njia ya kipekee ya uhifadhi wa bioanuwai katika maeneo ya mijini (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2026
Mji wa Shenzhen, China wafuatilia njia ya kipekee ya uhifadhi wa bioanuwai katika maeneo ya mijini
Picha iliyopigwa Aprili 21, 2026 ikionyesha ubao unaoonesha Madaraja ya Kuvuka ya Kunpeng, Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China. (Xinhua/Liang Xu)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Shenzhen katika Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China umekuwa ukifuatilia njia ya kipekee ya uhifadhi wa bioanuwai katika maeneo ya mijini kwa kujenga njia za kuvuka za kiikolojia, kujenga miundombinu rafiki kwa mazingira na kutekeleza usimamizi bora wa ikolojia.

Jitihada hizo zimehifadhi nafasi ya kutosha kwa makazi ya wanyamapori na njia za wanyama wanaoishi kwa kuhama hama, na kuunda "njia mbili" ili kuunga mkono kuishi kwa mapatano kati ya wanadamu na wanyamapori.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha