Lugha Nyingine
Mandhari ya Bonde Kuu la Ufa nchini Kenya (5)
![]() |
| Mtalii akifurahia mandhari ya Bonde Kuu la Ufa kwenye jukwaa la kutazamia mandhari katika Kaunti ya Kiambu, Kenya, Aprili 21, 2026. (Xinhua/Xie Jianfei) |
Bonde Kuu la Ufa, lililoko mashariki mwa Afrika, ni mojawapo ya mifumo mikubwa na maarufu zaidi ya ufa wa kibara duniani na mara nyingi hujulikana kwa jina la "kovu la Dunia."
Eneo hilo lina mandhari mbalimbali za mazingira ya kushangaza, zikiwemo za volkano, miinuko, makorongo, vilevile maziwa mbalimbali.
Aina mbalimbali za wanyamapori huishi na kuhamia hapa, hali ambayo inaunda moja ya mandhari maarufu zaidi duniani. Kenya hutumika kama moja ya malango makuu ya kutembelea kujionea na kutalii katika Bonde hilo Kuu la Ufa na vivutio vyake muhimu.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
