Mandhari ya Bonde Kuu la Ufa nchini Kenya (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 23, 2026
Mandhari ya Bonde Kuu la Ufa nchini Kenya
Picha hii iliyopigwa Aprili 21, 2026 ikionyesha mandhari ya Hifadhi ya Taifa ya Hells Gate katika Bonde Kuu la Ufa, Kaunti ya Nakuru, Kenya. (Xinhua/Xie Jianfei)

Bonde Kuu la Ufa, lililoko mashariki mwa Afrika, ni mojawapo ya mifumo mikubwa na maarufu zaidi ya ufa wa kibara duniani na mara nyingi hujulikana kwa jina la "kovu la Dunia."

Eneo hilo lina mandhari mbalimbali za mazingira ya kushangaza, zikiwemo za volkano, miinuko, makorongo, vilevile maziwa mbalimbali.

Aina mbalimbali za wanyamapori huishi na kuhamia hapa, hali ambayo inaunda moja ya mandhari maarufu zaidi duniani. Kenya hutumika kama moja ya malango makuu ya kutembelea kujionea na kutalii katika Bonde hilo Kuu la Ufa na vivutio vyake muhimu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha