Kipindi cha pili cha Maonesho ya 139 ya Biashara ya Canton chaanza (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2026
Kipindi cha pili cha Maonesho ya 139 ya Biashara ya Canton chaanza
Maonyesho ya 139 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China (Maonyesho ya Biashara ya Canton) yalifanyika Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, China Aprili 23, 2026. Picha hii inaonesha washiriki wakitembelea kwenye maonesho. (Xinhua/Deng Hua)

Kipindi cha pili cha Maonyesho ya 139 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China kilianza Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, China siku ya Alhamisi. Maonesho hayo yana eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 515,000, na yamewekwa mabanda 25,000 ya kampuni zaidi ya 10,000 zinazoshiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha