Kipindi cha pili cha Maonesho ya 139 ya Biashara ya Canton chaanza (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 24, 2026
Kipindi cha pili cha Maonesho ya 139 ya Biashara ya Canton chaanza
Tarehe 23, Aprili, 2026, mnunuzi (kushoto) akizungumzana na mfanyabiashara mshiriki kwenye Maonyesho ya 139 ya Uagizaji na Uuzaji Nje wa Bidhaa ya China yaliyofanyika Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, China. (Xinhua/Deng Hua)

Kipindi cha pili cha Maonyesho ya 139 ya Uagizaji na Uuzaji Nje Bidhaa ya China kilianza Guangzhou, Mkoa wa Guangdong, China siku ya Alhamisi. Maonesho hayo yana eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 515,000, na yamewekwa mabanda 25,000 ya kampuni zaidi ya 10,000 zinazoshiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)

Picha