Lugha Nyingine
Kijiji cha Jinling mkoani Zhejiang China chaendeleza shughuli za utalii za kuhusisha utamaduni wa kijiji chenye mazingira mazuri ya asili (2)
![]() |
| Maua ya azalea ya milimani yaliyochanua yakionekana katika Kijiji cha Jinling, Wilaya ya Chun'an mkoani Zhejiang, mashariki mwa China, Aprili 24, 2026. (Xinhua/Xu Yu) |
Kijiji cha Jinling, kilichopo kwenye mwinuko wa mita zaidi ya 1,000 juu ya usawa wa bahari, ni moja ya vijiji vilivyoko kwenye mwinuko wa juu zaidi katika Wilaya ya Chun'an mkoani Zhejiang, mashariki mwa China. Katika miaka ya hivi karibuni, kijiji hicho kimetumia vya kutosha maliasili zake nyingi kwa kuendeleza shughuli za utalii za kuhusisha utamaduni wa kijiji chenye mazingira mazuri ya asili.
Kwa kupitia kuboresha miundombinu, kujenga maeneo ya kupiga kambi na majukwaa ya kutazama mandhari, vilevile kuhimiza maendeleo ya nyumba za kuwapokea wageni, Kijiji hicho cha Jinling hatua kwa hatua kimeanzisha shughuli za utalii za kutembea kwa miguu, kutazama mandhari na kupumzika wakati wa majira ya joto, hali ambayo imeongeza mapato kwa wanakijiji wa eneo hilo.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
