Mkoa wa Heilongjiang, China waingia katika "msimu wa dhahabu" wa kupanda miche ya mpunga (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2026
Mkoa wa Heilongjiang, China waingia katika
Wakulima wakipanda miche ya mpunga katika sehemu ya Mji mdogo wa Jixiang wa Jiamusi, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Mei 12, 2026. (Picha na Chen Zhiguo/Xinhua)

Hivi karibuni, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China umeingia katika "msimu wa dhahabu" wa kupanda miche ya mpunga.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha