Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 kufanyika Tianjin, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2026
Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 kufanyika Tianjin, China
Wafanyakazi wa Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 wakipanga vitu vya kuoneshwa katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho (Tianjin), Tianjin, kaskazini mwa China, Mei 26, 2026. (Xinhua/Li Ran)

Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 yamepangwa kufanyika katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho (Tianjin) mjini Tianjin, kaskazini mwa China kuanzia Mei 28 hadi 31.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha