Lugha Nyingine
Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 kufanyika Tianjin, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wa Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 wakionekana katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho (Tianjin), Tianjin, kaskazini mwa China, Mei 26, 2026. (Xinhua/Li Ran) |
Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 yamepangwa kufanyika katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho (Tianjin) mjini Tianjin, kaskazini mwa China kuanzia Mei 28 hadi 31.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




