Lugha Nyingine
Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 kufanyika Tianjin, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 27, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Mei 26, 2026 ikionyesha eneo la Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho (Tianjin), Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Li Ran) |
Maonyesho ya Tasnia ya AI Duniani 2026 yamepangwa kufanyika katika Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho (Tianjin) mjini Tianjin, kaskazini mwa China kuanzia Mei 28 hadi 31.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




