Lugha Nyingine
Droni ya kuangazia yasaidia mashine za kilimo kuvuna ngano wakati wa usiku mkoani Anhui, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 04, 2026
Siku hizi, msimu wa kuvuna ngano umeanza katika sehemu mbalimbali mkoani Anhui, China. Katika usiku wa Jumanne, kampuni ya usambazaji umeme ya Hefei ya Gridi ya Anhui ya China ilipeleka droni inayounganishwa na mashine za umeme ardhini kwa kupitia waya za kushikiliwa, ili kutoa mwanga kwa shamba na kuwasaidia waendesha mashine za kilimo kufanya kazi wakati wa usiku.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Meli kubwa ya kitalii ya pili kuundwa ndani ya China yakamilisha jaribio la kwanza la baharini

Hifadhi ya Taifa ya Kruger ya Afrika Kusini yaadhimisha miaka 100

Nishati ya kijani yahimiza maendeleo yenye sifa bora katika Mkoa wa Xizang, China

Madaraja ya matao yenye mapaa ya mbao yahifadhiwa vizuri katika Mkoa wa Fujian, China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
