Hali Murua Iliyoshangaza Katika Mashindano ya 28 ya China ya Roboti na AI ya Sehemu ya Mshindano ya Xizang (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 04, 2026
Hali Murua Iliyoshangaza Katika Mashindano ya 28 ya China ya Roboti na AI ya Sehemu ya Mshindano ya Xizang
Tarehe 3, Juni, 2026, katika Chuo Kikuu cha Xizang mjini Lhasa, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, Kusini Magharibi mwa China, Mashindano ya 28 ya China ya Roboti na AI (CRAIC) ya sehemu ya mashindano ya Xizang yakifanyika katika hali ya kuvutia. (Xinhua/Jigme Dorje)

Mashindano ya 28 ya China ya Roboti na Teknolojia ya AI (CRAIC) ya Xizang kwa jumla limeshirikisha timu 81, zikiwemo timu 19 kutoka vyuo vikuu vinne zinazoshiriki kwenye mashindano yanayofanyika kwenye sehemu ya mashindano ya Xizang.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha