Mtihani wa kitaifa 2026 wa kuendelea na masomo katika vyuo vikuu waanza kote nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 08, 2026
Mtihani wa kitaifa 2026 wa kuendelea na masomo katika vyuo vikuu waanza kote nchini China
Mzazi akimbusu binti yake kabla ya mtihani nje ya shule moja ya Beijing ya kufanyia mtihani wa kitaifa wa kuendelea na masomo katika vyuo vikuu, Juni 7, 2026. (Xinhua/Li Xin)

Mtihani wa kitaifa wa kuendelea na masomo katika vyuo vikuu wa mwaka huu wa 2026, ambao kwa ufupi watu huuita mtihani wa Gaokao, umeanza rasmi jana Jumapili kote nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha