Shughuli mbalimbali  za mashua ya dragoni zafanyika sehemu mbalimbali za China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2026
Shughuli mbalimbali  za mashua ya dragoni zafanyika sehemu mbalimbali za China
Washiriki wakishindana kwenye mbio za mashua ya dragoni, huko Jingzhou, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Juni 13, 2026. (Picha na Ye Liming/Xinhua)

Shughuli mbalimbali za mashua ya dragoni zimefanyika sehemu mbalimbali za China jana Jumapili ili kukaribisha Sikukuu ya Duanwu ya tarehe 5 ya mwezi wa 5 kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo pia inajulikana ni Siku ya Mashua ya Dragoni, ambayo itakuwa Tarehe Juni 19 mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha