Lugha Nyingine
Shughuli mbalimbali za mashua ya dragoni zafanyika sehemu mbalimbali za China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2026
Shughuli mbalimbali za mashua ya dragoni zimefanyika sehemu mbalimbali za China jana Jumapili ili kukaribisha Sikukuu ya Duanwu ya tarehe 5 ya mwezi wa 5 kwa kalenda ya kilimo ya China, ambayo pia inajulikana ni Siku ya Mashua ya Dragoni, ambayo itakuwa Tarehe Juni 19 mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




