Mali za Urithi wa Viwanda Zabadilishwa kuwa Alama za Utamaduni wa Mji wa Shijiazhuang (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 16, 2026
Mali za Urithi wa Viwanda Zabadilishwa kuwa Alama za Utamaduni wa Mji wa Shijiazhuang
Watu wakitembelea bustani ya utamaduni na michezo ya sanaa, iliyojengwa kwenye sehemu iliyokuwa ya kiwanda cha nguo, katika Mji wa Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Juni 12, 2026. (Xinhua/Yang Shiyao)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Shijiazhuang katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China umesukuma mbele ulinzi na matumizi ya mali za urithi wa viwanda, juhudi hizi zimeingiza nguvu hai mpya katika maendeleo ya mji huo. Majengo mengi ya zamani ya viwanda na maeneo ya zamani ya viwanda yamejengwa upya na kubadilishwa kuwa alama za utamaduni wa mji, bustani za burudani na michezo, masoko ya bidhaa za ubunifu na sehemu nyingine zenye nafasi za aina mpya mjini. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha