Mali za Urithi wa Viwanda Zabadilishwa kuwa Alama za Utamaduni wa Mji wa Shijiazhuang (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 16, 2026
Mali za Urithi wa Viwanda Zabadilishwa kuwa Alama za Utamaduni wa Mji wa Shijiazhuang
Watu wakifurahia muda wao wa mapumziko kwenye bustani ya mali ya urithi wa viwanda iliyojengwa kwenye sehemu iliyokuwa ya kiwanda cha chuma, baada ya kufanya juhudi za kuihifadhi na kuitumia, tena kuijenga upya, sehemu hiyo imebadilishwa kuwa bustani ya Mji wa Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Juni 14, 2026. (Picha na Zhang Xiaofeng/Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Shijiazhuang katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China umesukuma mbele ulinzi na matumizi ya mali za urithi wa viwanda, juhudi hizi zimeingiza nguvu hai mpya katika maendeleo ya mji huo. Majengo mengi ya zamani ya viwanda na maeneo ya zamani ya viwanda yamejengwa upya na kubadilishwa kuwa alama za utamaduni wa mji, bustani za burudani na michezo, masoko ya bidhaa za ubunifu na sehemu nyingine zenye nafasi za aina mpya mjini. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha