Lugha Nyingine
Mali za Urithi wa Viwanda Zabadilishwa kuwa Alama za Utamaduni wa Mji wa Shijiazhuang (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 16, 2026
Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Shijiazhuang katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China umesukuma mbele ulinzi na matumizi ya mali za urithi wa viwanda, juhudi hizi zimeingiza nguvu hai mpya katika maendeleo ya mji huo. Majengo mengi ya zamani ya viwanda na maeneo ya zamani ya viwanda yamejengwa upya na kubadilishwa kuwa alama za utamaduni wa mji, bustani za burudani na michezo, masoko ya bidhaa za ubunifu na sehemu nyingine zenye nafasi za aina mpya mjini.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




