China yafanya tamasha la muziki kusherehekea miaka 105 tangu kuanzishwa kwa CPC

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 30, 2026

Tamasha la muziki likifanyika kwa kusherehekea miaka 105 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, China, Juni 29, 2026. (Xinhua/Yue Yuewei)

BEIJING – Tamasha la muziki limefanyika Beijing Jumatatu jioni kwa kusherehekea miaka 105 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC).

Viongozi wa chama na serikali Xi Jinping, Li Qiang, Zhao Leji, Wang Huning, Cai Qi, Ding Xuexiang, Li Xi, na Han Zheng walijumuika na watu wapatao 3,000 kutazama maonyesho ya tamasha hilo, yaliyopewa jina la “Kuwapa Wananchi Kipaumbele”.

Tamasha hilo la muziki lililofanyika kwenye Jumba la Mikutano ya Umma katikati mwa Beijing, linahusisha sehemu tano, kutoa heshima kwa wahanga wa mapinduzi, kukumbuka mshikamano wa jeshi na raia wakati wa miaka ya vita vya mapinduzi, na kuonyesha maendeleo wakati wa miaka ya mapinduzi na ujenzi wa kijamaa.

Wasanii wa muziki pia walionyesha mabadiliko makubwa ya China tokea kuanza kwa mageuzi na ufunguaji mlango, na kuangazia mafanikio ya nchi katika zama mpya.

Wakati tamasha hilo la muziki lilipokaribia kumalizika, watu wote wakisimama na kuimba pamoja wimbo wa "Bila Chama cha Kikomunisti, Kusingekuwa na China Mpya."

Wajumbe wa wataalamu wa kigeni wanaofanya kazi nchini China pia walialikwa kwenye tamasha hilo la muziki. 

Tamasha la muziki likifanyika kwa kusherehekea miaka 105 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, Juni 29, 2026. (Xinhua/Xie Huanchi)

Tamasha la muziki likifanyika kwa kusherehekea miaka 105 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, Juni 29, 2026. (Xinhua/Yan Yan)

Tamasha la muziki lenye kichwa cha “Kuwapa Wananchi Kipaumbele” likifanyika kwa kusherehekea miaka 105 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) mjini Beijing, Juni 29, 2026. (Xinhua/Yin Bogu)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha