Watu wasiopungua 27 wauawa katika shambulio la kombora la Russia mjini Kiev, Ukraine (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 03, 2026
Watu wasiopungua 27 wauawa katika shambulio la kombora la Russia mjini Kiev, Ukraine
Picha iliyopigwa Julai 2, 2026 ikionyesha eneo la shambulio la kombora dhidi ya Kiev, Ukraine. (Picha na Peter Druk/Xinhua)

Mkuu wa eneo la kijeshi la Mji wa Kiev, Tymur Tkachenko, amesema watu wasiopungua 27 wameuawa kwenye shambulizi la kombora lililofanywa na Russia dhidi ya Kiev Ukraine jana Alhamisi. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha