Mtihani wa awali wa shahada ya juu zaidi ya Dini ya Kibuddha ya Kitibet wafanyika Xizang, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 03, 2026
Mtihani wa awali wa shahada ya juu zaidi ya Dini ya Kibuddha ya Kitibet wafanyika Xizang, China
Mtihani wa awali wa Geshe Lharampa ukifanyika katika Hekalu la Drepung, Lhasa, Mkoa wa Xizang, kusini magharibi mwa China, Julai 2, 2026. (Xinhua/Jigme Dorje)

Jumla ya watawa 13 kutoka mahekalu mbalimbali wako katika mchakato wa kukamilisha mtihani wa awali wa Geshe Lharampa, shahada ya juu zaidi ya kitaaluma katika mafundisho ya kiimani ya shule ya Gelug ya Dini ya Kibuddha ya Xizang mjini Lhasa, Mkoani Xizang, kusini magharibi mwa China.

Geshe Lharampa, ambayo kwa lugha ya Xizang inamaanisha "akili za fikra", ni sawa na shahada ya udaktari katika elimu ya kisasa.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha