Lugha Nyingine
Meli ya mizigo iliyopakiwa magari 513 ya China yaondoka kutoka Mji wa Taizhou, China kuelekea Tanzania (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 06, 2026
![]() |
| Picha ikionyesha magari ya Sinotruk yakipakiwa kwenye meli ya mizigo bandarini huko Taizhou, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Julai 2, 2026. (Picha na Gu Jihong/Xinhua) |
Meli ya mizigo iliyopakiwa magari 513 yaliyoundwa na kiwanda cha Sinotruk cha China, pamoja na saruji za tani 40,500 imefunga safari Jumamosi kutoka mji wa Taizhou mashariki mwa China kuelekea Tanzania, ikifikia rekodi mpya ya idadi ya magari ya uhandisi yaliyopakiwa kwenye meli moja tu kusafirishwa kwenda nje kutoka katika Bandari ya Taizhou.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




