Mandhari ya majira ya joto ya Ziwa Lugu Kusini-Magharibi mwa China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 06, 2026
Mandhari ya majira ya joto ya Ziwa Lugu Kusini-Magharibi mwa China
Maua ya ottelia yakionekana katika Ziwa Lugu kwenye mpaka kati ya Wilaya Inayojiendesha ya Kabila la Wayi ya Ninglang ya Mji wa Lijiang, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa wa China na Wilaya ya Yanyuan ya Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wayi la Liangshan, Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China, Julai 3, 2026. (Xinhua/Jiang Wenyao)

Katika miaka ya hivi karibuni, mamlaka za serikali za mitaa katika maeneo ya mpaka kati ya mikoa ya Sichuan na Yunnan ya kusini magharibi mwa China zimekuwa zikisukuma mbele bila kukoma uhifadhi wa ikolojia ya Ziwa Lugu na kuzidisha usimamizi wa ushirikiano wa mikoa hiyo miwili, hali ambayo imeleta matokeo ya aina yake ya ikolojia na ukuaji tulivu katika tasnia za kitamaduni na utalii.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha