Lugha Nyingine
Rais wa Namibia awasili Beijing (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2026
![]() |
| Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah wa Jamhuri ya Namibia akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Julai 8, 2026. (Xinhua/Jin Liangkuai) |
Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah amewasili Beijing, Mji Mkuu wa China jana Jumatano kuanza ziara yake ya kiserikali nchini China toka tarehe 8 hadi tarehe 11 mwezi huu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




