Rais wa Namibia awasili Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2026
Rais wa Namibia awasili Beijing
Rais Netumbo Nandi-Ndaitwah wa Jamhuri ya Namibia akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Julai 8, 2026. (Xinhua/Jin Liangkuai)

Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah amewasili Beijing, Mji Mkuu wa China jana Jumatano kuanza ziara yake ya kiserikali nchini China toka tarehe 8 hadi tarehe 11 mwezi huu. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha