Lugha Nyingine
ChinaVumbuzi | Shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege zaanza kufanyika kwenye mashamba mkoani Heilongjiang (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2026
Vitengo mbalimbali vya uzalishaji wa kilimo chini ya Kundi la Beidahuang la Mkoa wa Heilongjiang kaskazini-mashariki mwa China vimeanza kufanya shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege juu ya mashamba, ili kuhakikisha uzalishaji tulivu wa nafaka za majira ya mpukutiko kwa kupitia mbinu za kisayansi na kiteknolojia.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




