ChinaVumbuzi | Shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege zaanza kufanyika kwenye mashamba mkoani Heilongjiang (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 31, 2026
ChinaVumbuzi | Shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege zaanza kufanyika kwenye mashamba mkoani Heilongjiang
Picha iliyopigwa Julai 29, 2026 ikionyesha droni ikifanya shughuli za kulinda mazao ya kilimo juu ya shamba la Kundi la Beidahuang la Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China. (Picha na Li Xing/Xinhua)

Vitengo mbalimbali vya uzalishaji wa kilimo chini ya Kundi la Beidahuang la Mkoa wa Heilongjiang kaskazini-mashariki mwa China vimeanza kufanya shughuli za kulinda mazao ya kilimo kwa ndege juu ya mashamba, ili kuhakikisha uzalishaji tulivu wa nafaka za majira ya mpukutiko kwa kupitia mbinu za kisayansi na kiteknolojia.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha