Lugha Nyingine
Kampuni ya Haier ya China yaongeza uundaji wa viyoyozi ili kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya Ulaya (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2026
![]() |
| Viyoyozi vya kusafirishwa kwa soko la Ulaya vikifanyiwa majaribio ya uwezo wa kazi ndani ya kiwanda cha Haier huko Jiaozhou, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Agosti 4, 2026. (Xinhua/Li Ziheng) |
Wakati huu ambapo mawimbi ya joto ambayo hayajapata kutokea hapo kabla yakilichoma bara la Ulaya katika majira ya joto ya mwaka huu, mahitaji yanaongezeka juu ya viyoyozi vya bei nafuu nvinavyookoa nishati.
Kampuni ya Haier ya China ambayo ni kampuni maarufu duniani ya vifaa vya umeme vya nyumbani, hivi sasa imepata ongezeko kubwa la oda kutoka Ulaya. Kampuni hiyo imerekebisha mipango yake ya uzalishaji kwa soko la Ulaya, na kuharakisha uundaji wa viyoyozi vya oda nyingi ili kukidhi mahitaji ya soko la kimataifa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




