Lugha Nyingine
Maonyesho ya mitindo ya mavazi ya kijadi ya kabila yafanyika Sichuan, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2026
Wanamitindo sitini kutoka sehemu mbalimbali za Eneo Linalojiendesha la Kabila la Wayi la Liangshan, Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China Jumanne wiki hii walionyesha mavazi na ubunifu wa mitindo ya kijadi ya mavazi ya kabila katika Kijiji cha Qietuo cha Wilaya ya Yuexi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




