Lugha Nyingine
ChinaVumbuzi | Roboti mpya zaonekana kwenye Bustani ya Tiantan mjini Beijing (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 07, 2026
![]() |
| Roboti ikisafisha njia za simenti za watembea kwa miguu kwenye Bustani ya Tiantan mjini Beijing, Agosti 6, 2026. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Bustani 14 za Mji wa Beijing, China hivi karibuni zimeingiza roboti mpya za aina mbalimbali. Roboti hizo sasa zinafanya kazi za kusafisha, kufanya ukaguzi kwa teknolojia ya kisasa, kuwaongoza watalii kutembelea, kufanya uokoaji majini, kuhifadhi vivutio vya utalii bustanini, na kufanya ufuatiliaji wa hali ya ikolojia, ambapo roboti hizo zimeleta huduma bora za kisasa katika maisha ya kila siku ya umma.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




