Lugha Nyingine
China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2026
![]() |
| Wanafunzi wakipiga picha pamoja na mwalimu wao kwenye shule ya msingi katika Mji wa Shangqiu mkoani Henan, katikati mwa China, Septemba 10, 2026. (Picha na Wang Gaochao/Xinhua) |
China imeadhimisha Siku ya Walimu ya 42 jana Alhamisi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kutoa shukrani kwa walimu kote nchini.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




