China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2026
China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu
Wanafunzi wakinyanyua juu kadi zilizoandikwa nao kwa mikono za kuelezea shukrani zao kwa walimu wao kwenye shule katika Wilaya ya Jurong ya Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Septemba 10, 2026. (Picha na Zhong Xueman/Xinhua)

China imeadhimisha Siku ya Walimu ya 42 jana Alhamisi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kutoa shukrani kwa walimu kote nchini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha