China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2026
China yaadhimisha Siku ya Walimu ya 42 kwa shughuli mbalimbali za kuwashukuru walimu
Walimu wakisoma kadi za salamu kutoka kwa wanafunzi kwenye shule ya msingi katika Mji wa Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China, Septemba 10, 2026. (Picha na Yi Fan/Xinhua)

China imeadhimisha Siku ya Walimu ya 42 jana Alhamisi kwa kufanya shughuli mbalimbali za kutoa shukrani kwa walimu kote nchini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha