Maonesho ya China-ASEAN yafunguliwa kwa umma (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 21, 2026
Maonesho ya China-ASEAN yafunguliwa kwa umma
Watembeleaji wakichagua chakula cha kimalaysia katika Maonesho ya 23 ya China-ASEAN huko Nanning, Mkoani Guangxi, China Septemba 19, 2026. (Xinhua/Zhou Hua)

Maonesho ya China-ASEAN yalifunguliwa kwa umma jana jumapili.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha