Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping wa China awasili nchini Marekani kwa ziara ya kiserikali, na kupokewa na Rais Trump katika uwanja wa ndege
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2026

(Picha/Xinhua)
Rais Xi Jinping wa China amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Joint Base Andrews Jumatano alasiri kwa ziara ya kiserikali nchini Marekani. Rais Xi pamoja na mkewe Bibi Peng Liyuan, walilakiwa kwa uchangamfu na Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe Bibi Melania Trump, katika uwanja wa ndege kwenye makaribisho ya nadra kando ya ndege.

(Picha/Xinhua)

(Picha/Xinhua)

(Picha/Xinhua)

(Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



