Mawimbi ya shughuli za utamaduni na utalii yaonekana sehemu mbalimbali nchini China wakati wa siku za mapumziko ya Sikukuu ya Taifa (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2026
Mawimbi ya shughuli za utamaduni na utalii yaonekana sehemu mbalimbali nchini China wakati wa siku za mapumziko ya Sikukuu ya Taifa
Picha ikionesha watalii wakifurahia mandhari wakiwa wamepanda chelezo kwenye Mto Yulong wa Wilaya ya Yangshuo ya Guilin katika Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Oktoba 7, 2026. (Picha na Jiang Keqing/Xinhua)

Watu wa sehemu mbalimbali nchini China wamefurahia shughuli mbalimbali za utamaduni na utalii wakati wa siku saba za mapumziko ya Sikukuu ya Taifa ya China iliyoanza Oktoba Mosi hadi jana Oktoba 7.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha