Lugha Nyingine
Bandari ya Qingdao, China yaendelea kupanua huduma zake za usafirishaji duniani (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 09, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Oktoba 8, 2026 ikionesha meli ya mizigo ikiwa imetia nanga kwenye Bandari ya Qingdao mkoani Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng) |
Bandari ya Qingdao mkoani Shandong, mashariki mwa China ni kituo cha kimataifa cha usafirishaji wa baharini katika eneo la Kaskazini-Mashariki mwa Asia, siku zote inafanya juhudi za kupanua mtandao wake wa usafirishaji, mpaka sasa imeongeza njia 16 za usafirishaji kwa ajili ya biashara na nje. Hivi sasa, bandari hiyo inaendesha karibu njia 240 za usafirishaji kwa ajili ya biashara na nje, na njia hizo zimeunganishwa na bandari zaidi ya 700 katika nchi na maeneo zaidi ya 180.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




