Lugha Nyingine
Mabaki ya vivutio vya kihistoria vya Safari Ndefu mkoani Sichuan, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Septemba 3, 2026, ikionesha eneo la zamani la mkutano wa kihistoria wakati wa Safari Ndefu katika Mji Baxi wa Wilaya ya Zogie, Mkoa wa Sichuan, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Xi) |
Mwaka 2026 ni wa maadhimisho ya miaka 90 ya ushindi wa Safari Ndefu. Mkoa wa Sichuan ulioko kusini-magharibi mwa China ulikuwa na uhusiano wa karibu zaidi na shughuli za Jeshi Jekundu kuanzia mwaka 1935 hadi 1936. Katika Safari Ndefu hiyo, Jeshi Jekundu lilivuka Mto Jinsha, likaunda Muungano wa Yihai, likapigana na kuvuka Mto Dadu, likateka Daraja la Luding, likapanda milima yenye vilele vya theluji na kuvuka maeneo ya mbugani, kisha likaendelea na safari yake kuelekea kaskazini hadi kupata ushindi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




