Kituo cha Uenezaji Sayansi mkoani Heilongjiang, China chawezesha watu kujua simbamarara wa Siberia na chui wa Amur

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 13, 2026
Kituo cha Uenezaji Sayansi mkoani Heilongjiang, China chawezesha watu kujua simbamarara wa Siberia na chui wa Amur
Watu wakitembelea Kituo cha Uenezaji na Elimu ya Sayansi cha Dongning cha Bustani ya Kitaifa ya Simbamarara na Chui ya Kaskazini Mashariki mwa China, huko Dongning mkoani Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Oktoba 12, 2026. (Xinhua/Sun Ruibo)

Kituo cha Uenezaji na Elimu ya Sayansi cha Dongning kwenye Bustani ya Kitaifa ya Simbamarara na Chui ya Kaskazini Mashariki mwa China, kilichoko Dongning mkoani Heilongjiang, kinaweka mkazo katika kuwawezesha watu kujua kwa kina wanyama wa simbamarara na chui.

Kwa kupitia majumba ya aina mbalimbali ya kujionea wanyama na kuchangamana na vifaa vya kuiga, inawafanya watembeleaji wajue kwa kina wanyama simbamarara wa Siberia na chui wa Amur.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha