Lugha Nyingine
Chombo cha Kuzamia Kina Kirefu Baharini cha China Kinachobeba Binadamu chakamilisha kazi ya 470 ya kuzamia (4)
![]() |
| Tarehe 15 Oktoba 2026, mwendeshaji wa chombo Tang Jialing, anaendesha mkono wa roboti wa Jiaolong ili kukusanya sampuli za miamba chini ya bahari. (Xinhua/Li Xin) |
Meli ya utafiti wa kisayansi "Shenhai No.1" ya China, inayobeba chombo cha kuzamia kina kirefu baharini "Jiaolong," kwa hivi sasa inafanya utafiti wa kisayansi wa eneo la kina kirefu baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Magharibi.
Tarehe 15 Oktoba, "Jiaolong" ilikamilisha kwa mafanikio kazi yake ya kuzamia baharini ya 470.
Waandishi wa habari wa Xinhua wamepanda meli hiyo inayobeba Jiaolong na kupiga picha za utafiti wa dunia ya chini ya maji yenye miujiza.

Meli hospitali ya jeshi la majini la China yawasili Cote d'Ivoire kutekeleza jukumu la matibabu

Tamasha la 19 la Utamaduni na Utalii la A-Ma lafunguliwa Macao, China

Utandazaji wa reli waanza kwenye reli ya mwendo-kasi ya Nantong-Ningbo mkoani Jiangsu, China

Mabaki ya vivutio vya kihistoria vya Safari Ndefu mkoani Sichuan, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
