Chombo cha Kuzamia Kina Kirefu Baharini cha China Kinachobeba Binadamu chakamilisha kazi ya 470 ya kuzamia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 20, 2026
Chombo cha Kuzamia Kina Kirefu Baharini cha China Kinachobeba Binadamu chakamilisha kazi ya 470 ya kuzamia
Picha hii ilipigwa tarehe 15 Oktoba 2026, ikionyesha samaki aina ya mkia wa panya aliyenaswa kwa kamera kupitia dirisha la chombo cha Jiaolong. (Xinhua/Li Xin)

Meli ya utafiti wa kisayansi "Shenhai No.1" ya China, inayobeba chombo cha kuzamia kina kirefu baharini "Jiaolong," kwa hivi sasa inafanya utafiti wa kisayansi wa eneo la kina kirefu baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Magharibi.

Tarehe 15 Oktoba, "Jiaolong" ilikamilisha kwa mafanikio kazi yake ya kuzamia baharini ya 470.

Waandishi wa habari wa Xinhua wamepanda meli hiyo inayobeba Jiaolong na kupiga picha za utafiti wa dunia ya chini ya maji yenye miujiza.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha